siri ya penzi lyrics by Shaa

eeh siri ya penzi uvumilivu
ukiwa na hali we utaaribu
Haki yake mtendee
akikosa msamehe
Yakipita yamepita mgange yajayo
Siri ya penzi eeeh kuheshimiana
Achana na jeuri
achana na kibuli
...

siri zake mlindie
Mali zake mtunzie
Hadharani chumbani niamini mwenzio

Ngoja nikwambie eeh nikwambie
Ngoja nikwambie eeh nikwambie kwambie
Ngoja nikwambie eeh nikwambie
Ngoja nikwambie eeh nikwambie kwambie

Ukishikwa masikio na wasiokutakia mema wee utapotea
Aah aah
Maneno ya nje sumu sio kila jirani mwema
kuwa makini aaah aah aaah
Siri ya penzi ooh kutifichana aah
Siri ya penzi Kuaminiana aah

Ngoja nikwambie eeh nikwambie
Ngoja nikwambie eeh nikwambie kwambie
Ngoja nikwambie eeh nikwambie
Ngoja nikwambie eeh nikwambie kwambie
Nikwambie
Nikwambie
Nikwa nikwambie
Nikwambie
Nikwambie
Nikwa nikwambie

Ukiwa kiziwi atakuabudu
Ukimuhusudu atakuhusudu
Tenda utendewe
Tenda utendewe
Ooh
Ukiwa kiziwi atakuabudu
Ukimuhusudu atakuhusudu
Tenda utendewe
Tenda utendewe
Tenda utendewe
Siri ya peeenzi

Ngoja nikwambie eeh nikwambie
Ngoja nikwambie eeh nikwambie kwambie
Ngoja nikwambie eeh nikwambie
Ngoja nikwambie eeh nikwambie kwambie
Siri ya penzi ooh kutifichana aah
Siri ya penzi Kuaminiana aah

Ngoja nikwambie eeh nikwambie
Ngoja nikwambie eeh nikwambie kwambie
Ngoja nikwambie eeh nikwambie
Ngoja nikwambie eeh nikwambie kwambie

No comments:

Post a Comment