shut up by Jos Mtambo ft Pipi

song:shut up
artist:Jos Mtambo ft Pipi
producer: j ryder

tongwe records
yo wakigambo
big Jos
yo ola nose d ommy
listen to me shut up

(Verse1)
Kaa kushoto tuliza ubongo nakuja kwako
Hii ngoma ni wazo kutoka kwa mpenzi wako
Ameshaniambia zote siri zako
Mapenzi ushamba men naunoko wako
Kupenda hujui nguo ya ndani haufui
Hupendi na pesa nikabaki hoi
Unakula kula kila sekunde utadhani kuku
una bamba men ndio maana jana akawa kwangu
Nasema unajifanya daktari
Kumbe fix ulikua hufiki hata darasani
Ushatoa mimba ya mshkaji wako
Gesti ya mtaani kwako
Ndipo unapokuwepo

(Chorus)
(Jos Mtambo)
Haufai aaha wa kichina aah
Sikia ngoma ukate roho shut up
(Pipi & Jos Mtambo)
Amesema hata ukipiga simu mara mia yeye wala hatapokea
Hata kuwa buzi haufai tena
Ma men shut up pendindila
Haufai aah wa kichina aah
Sikia ngoma ukate roho shut up
Na ule mkwanja wako mbuzi bado aujaisha tunatumia
Hata kuwa buzi haufai tena
Ma men shut up pendindila

(Verse2)
Ameshaniambia you don't know to make love
Una mparamia kama sio kuwa unamkera
Tena kwanza unaclear jasho
Mjomba tuliza hesabu cut ray
Unaogopa kupiga mbizi baharini unaona kinyaa
Unaogopa kizaa zaa
Utakoma alikupa nani ukacheka akanipa mimi
Usimwite honey hataki anataka nimwite mimi
Unamtekenya hili acheke sa ndio nini
Mara unatembea kijoti men that nt funny
She call me papa
I know you know me men you need a teacher come and see me
Demu anataka mambo na mzee umezidi urembo
hataki tena bata na pozi unamtia shombo
yo wakigambo
big Jos
yo ola nose d ommy
listen to me shut up

(Chorus)
(Jos Mtambo)
Haufai aaha wa kichina aah
Sikia ngoma ukate roho shut up
(Pipi & Jos Mtambo)
Amesema hata ukipiga simu mara mia yeye wala hatapokea
Hata kuwa buzi haufai tena
Ma men shut up pendindila
Haufai aah wa kichina aah
Sikia ngoma ukate roho shut up
Na ule mkwanja wako mbuzi bado aujaisha tunatumia
Hata kuwa buzi haufai tena
Ma men shut up pendindila

(Verse3)
Uongo wako wa kitoto eti unamuona kwenye glass
Ana mashaka hata ndani ya boksi men that fake
Eti ooh una haraka kichizi bureau change
Una noti ya dola elfu tano unaenda kuchange
Alishastuka sema pasua ye sio fala no aliogopa kukuumbua
Fake we ni toy wala aenjoy
Bora mwache asepe angezaa mdoli
Unaita bongo New york na wewe mnyamwezi
Please unaboronga men na swaga huwezi
Uwa huna ..okey alisema nisiseme
Wengine anawaita baby wengine mylove
Kibao dear we nani shut up
Mkwanja ndio unafanya dar kuwa busy city
Na uongo ndio unafanya dar kuwa dar

(Chorus)
(Jos Mtambo)
Haufai aaha wa kichina aah
Sikia ngoma ukate roho shut up
(Pipi & Jos Mtambo)
Amesema hata ukipiga simu mara mia yeye wala hatapokea
Hata kuwa buzi haufai tena
Ma men shut up pendindila
Haufai aah wa kichina aah
Sikia ngoma ukate roho shut up
Na ule mkwanja wako mbuzi bado aujaisha tunatumia
Hata kuwa buzi haufai tena
Ma men shut up pendindila

tongwe records baby
.............................

No comments:

Post a Comment