Basi nenda by mo music

(Verse1)
Kulalama kufuru lakini
Naona ndio napoza moyo
Uwepo wako sawa na muiba kidoleni
Ile tamu imegeuka shubiri
Nilipokuthamini nikakupa moyo
Hata kutendwa sikufikiri
Kinywa kizito kukubali ukweli
Moyo unashindwa inaniuma ni hatari
Mapenzi yanatawala dunia sawa
Nimechoka kutawaliwa kama
Uwepo wako sawa na muiba kidoleni
Ile Asali wanalina wengine
Siwezi kubishana na moyo
Nilikupenda kipepeo
Ila ile picha inaonyesha mapenzi yamekwisha
Ooh

(Chorus)
Basi nenda
Na me ntafute sababu ya kuridhia
Sawa nenda
Nami niudanganya moyo utatulia

Basi nenda
Na me ntafute sababu ya kuridhia
Sawa nenda
Nami niudanganya moyo utatulia

(Verse2)
Wanasema upendo wa kweli ndio haufutiki
Ila kwa baadhi najua
Right ningeelewa kuvuma kwa upepo kutobadili misimu ya jua
Nilishajua miendeno yako
Tusingewezana aaha
Kumbe nakunywa maji ya moto
me bado mtoto
Kwangu changamoto mmh
Waliposema hufai
Nilijipa moyo ni ya walimwengu
(Bilekebizembe bindi  biloza)
Karol aliniambia
Labda thamani ya mapenzi ni kikombe
Sikukivunja sina thamani
Sawa nimelewa sana sina haja ya kung'ang'ana

(Chorus)
Basi nenda
Na me ntafute sababu ya kuridhia
Sawa nenda
Nami niudanganya moyo utatulia

Basi nenda
Na me ntafute sababu ya kuridhia
Sawa nenda
Nami niudanganya moyo utatulia

Basi nenda
Na me ntafute sababu ya kuridhia
Sawa nenda
Nami niudanganya moyo utatulia

Basi nenda
Na me ntafute sababu ya kuridhia
Sawa nenda
Nami niudanganya moyo utatulia

5 comments: